Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Nasubiri mwalikoNitakualika [emoji41][emoji41]
Nasubiri mwalikoNitakualika [emoji41][emoji41]
kabisa hakuna maisha mengine zaidi ya haya mkuuMaisha ndio hayahaya
Kumbe wengi wanajua kutengeneza safiBasi we ni wa A.town au moshi lazma umezaliwa pande hizi maana watu wa huku ndo zetu lazma ujue kutengeneza kisusio
Alifakamia bila msosi nini [emoji26][emoji26]Hayo mapombe mkuu kua makini nayo sana juzi kidogo imuachanishe kijana mmoja na ugali ilibidi apewe maziwa na sukari coz alizimia
ulionja hukunywa ww😛iga bia hapo kama 10 uone kama hujalewaahhqhhqa jana nilikamiaaaa...nilikamia sana nilewe....!subutuuu...sikulewa haya chembe..sijajua kwann
HahahahaRaha ya kuzimua unaendelea hadi kuchwe
Ulikuwa na furaha sana.ahhqhhqa jana nilikamiaaaa...nilikamia sana nilewe....!subutuuu...sikulewa haya chembe..sijajua kwann
noma sana hii leo na hiki kibaridi naweza jikuta kreti imekata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu J& BHahahaha, mie pia
weekend inaenda murua kabisaNimewamiss huku vipi w.end?
Muhimu kabisa [emoji23][emoji23]Nasubiri mwaliko
Naomba na mm nialike RafikiNitakualika [emoji41][emoji41]
Unapata supu unalianzisha raha sanaHahahaha
Hahahaha, sawa nakujaKaribu J& B
Wanasema raha jipe mwenyewe.kabisa hakuna maisha mengine zaidi ya haya mkuu
ndio kama umezaliwa moshi,arusha kwa mwanaume lazma ujue kutengeneza.Kumbe wengi wanajua kutengeneza safi
Toa gambe gambeUnapata supu unalianzisha raha sana
Wewe tena rafikiNaomba na mm nialike Rafiki
Ulikuwa na furaha sana.
Hahahaha, woyoooo mualiko umetikiWewe tena rafiki