Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hayo mapombe mkuu kua makini nayo sana juzi kidogo imuachanishe kijana mmoja na ugali ilibidi apewe maziwa na sukari coz alizimia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bongo bahati nzuri
1558793165886.jpeg
 
Mimi nataka kujua kilevi kisicho na sukari kwa sababu huu ni uzi maalum kwa wanywa vilevi, sasa mimi nimeuliza swali kama unalo jibu eleza kama huna subiri wanaojua wanijulishe kwa kuwa hii ndio starehe yangu kubwa, jamani nauliza tena je Serengeti lager haina sukari? Au ni kinywaji gani naweza kutumia ambacho hakina sukari, nahitaji kujua chochote Chenye alcohol iwe ni whisky, beer n. k. Mwenye kujua tafadhali.
Nyagi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom