Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

manengelo nilikumiss sana
IMG-20190524-WA0001.jpg
 
Nunevua hadi shati licha ya mvua kunyeaha sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Wataalamu kama mzee wa tunguli watakuwa wanakielewa [emoji23][emoji23][emoji23]


Hehhehe..hiki uwe umekula.umeshba..!una afya tele...😁😁😁till dawn😷😷
 
[emoji23][emoji23] yaani hapa nimeshaagiza mchemsho pahala nikitoka hapa naenda kupiga then nashushia na soft drink. I mean bia
Alafu umepotelea wapi?


mimi toka 11 najilewea...nashangaa silewi😣😣😣...nipo mzee baba..niliamua kumsindikza rafiki angu na mwezi mtukufu..YAMENISHINDA
 
mimi toka 11 najilewea...nashangaa silewi[emoji21][emoji21][emoji21]...nipo mzee baba..niliamua kumsindikza rafiki angu na mwezi mtukufu..YAMENISHINDA
We acha huku ni balaa inabidi tupigilie vitu ndani kwa ndani. Yaani nchi nzima wamefunga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom