ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,961
- 61,135
Plus
[emoji23][emoji23][emoji23]sipati picha biashara ya ndimu itakavyonoga kuanzia July.... Baby nasikia kichefuchefu[emoji13][emoji13][emoji12][emoji12]kwani uliambiwa ina mabega ile... Kwamba kitaingia kichwa tuu...ha ha ha ha ni kweli mkuu inahamasisha uzalendo
Unakaaje mwenyew,omba kampani ya uyo counter mwenye heleni kam mmasaiAcha maskhara ujue nitakusubiri[emoji23][emoji23][emoji23] mteja niko pekeyangu View attachment 1094002
[emoji23][emoji23][emoji23]sipati picha biashara ya ndimu itakavyonoga kuanzia July.... Baby nasikia kichefuchefu[emoji13][emoji13][emoji12][emoji12]kwani uliambiwa ina mabega ile... Kwamba kitaingia kichwa tuu...
Huyu mwenye lips [emoji182] pana zilizojazia? [emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka hii madaUnakaaje mwenyew,omba kampani ya uyo counter mwenye heleni kam mmasai
😜😜😜😜😜[emoji23][emoji23][emoji23]itategemea na mizuka
Nimeku PM brother!
Siyo kweliNi sawa vol ni amount ya alcohol kwa chupa
ha ha ha ha ha,ndio maisha tuliyopewa tuyafurahie hapa duniani[emoji23][emoji23][emoji23]sipati picha biashara ya ndimu itakavyonoga kuanzia July.... Baby nasikia kichefuchefu[emoji13][emoji13][emoji12][emoji12]kwani uliambiwa ina mabega ile... Kwamba kitaingia kichwa tuu...
Tupo tunapiga vyombo taraatibu..Wadau mpo humu ?
Hahahaha safi Sana, nami niko sehemu nazigida kdg kdgTupo tunapiga vyombo taraatibu..
Safi sana,zinasaidia sana kupunguza uchovu na misongo ya mawazo ya wiki nzima ya mchakamchaka.Hahahaha safi Sana, nami niko sehemu nazigida kdg kdg
Kabisa MkuuSafi sana,zinasaidia sana kupunguza uchovu na misongo ya mawazo ya wiki nzima ya mchakamchaka.
Alcohol is alcohol is alcohol. Alcohol ya spirit ni exactly the same na alcohol ya beer. Tofauti ni Alcohol By Volume (ABV).Hapana konyagi ni Spirit ambayo hutengenezwa na distlation process na beer hutengenezwa na brewery alcohol yake si sawa
Niko Urambo, nimezifuma Primus kama mbili, k vant nimeiweka pembeni kwanza.. Hii bia ya ukweli sana.Wadau mpo humu ?
Niko Urambo, nimezifuma Primus kama mbili, k vant nimeiweka pembeni kwanza.. Hii bia ya ukweli sana.