Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,084
- 100,521
Hahahaha, wengine tukilewa tunakua mabubu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengne baada ya kuongea kizungu wakilewa et wanabwabwanya kilugha, hasa wasukumaa yaaani akinywa hata boha au kangala anajiona yupo nyegezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app