Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,139
- 100,702
Mkuu una uhakika gani ni KE,siingia kichwakichwa nikaja kupigwa ngeta ya mbao A town,nilishamtongoza mama mtoto kwa muda wa mwaka mmoja mpaka kufikia kumwita wife,wanawake wengine huwa nawalipa wananipa service kama client,nimepiga shot moja na kununua skunk pale Babylon nikaelekea shivers sijavutiwa na wale wadada baada,kelele nyingi sijui mume wangu,baada ya kumpata baharia wangu Kamanda Matafu amesema anamrudisha wife home anipeleke sijui kokoliko nikitoka hapo amenihakikishia ntafurahi na kuamka fresh.Uko Chugga,unachat na mtoto yuko Chugga;na karibu katoa afu bado unamuuliza wapi utapata 'toto??'
Unaniangusha kamanda😑😐😐😑😐😑
Ngunga noma sanaMkuu una uhakika gani ni KE,siingia kichwakichwa nikaja kupigwa ngeta ya mbao A town,nilishamtongoza mama mtoto kwa muda wa mwaka mmoja mpaka kufikia kumwita wife,wanawake wengine huwa nawalipa wananipa service kama client,nimepiga shot moja na kununua skunk pale Babylon nikaelekea shivers sijavutiwa na wale wadada baada,kelele nyingi sijui mume wangu,baada ya kumpata baharia wangu Kamanda Matafu amesema anamrudisha wife home anipeleke sijui kokoliko nikitoka hapo amenihakikishia ntafurahi na kuamka fresh.
Tisa kasoro kumi ndani ya kokoliko,makanika kila kona mpaka nimekuwa soba,mhudumu kaunta namuona kama Malaika nimeagiza kichwaji harudishi chenji ananipigishapigisha tu vistori vya hapa na Pale huku anacheka,nimemwambia samahani nina chumba hoteli fulani jirani akimaliza kazi tukapumzike,kanijibu bila samahani tutalala,nafikiria niagize nyingine ya mwisho atulie na chenji au nile bati,Mwenyeji wangu kaniambia kula bati mida ya kusogea imefika.
Duh [emoji54]hahahahahhahaha....kwahyo leo una ugeni
🤕Duh [emoji54]
Umeumia kichwa?[emoji856]
Noma sana kule mm niliperfom nimevaa koti,mnaachia sehemu nyeti tuumenikumbusha miami ..niliingia natetemeka na baridi had kilaji kikashindwa kupanda..dah..nilipanda kule juu alafu cha ajabu wahundum wamevaa mashati tu..arghhh baridi lile ht km una match unashindwa kuperform aisee[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji2305][emoji2305][emoji2305]umenikumbusha miami ..niliingia natetemeka na baridi had kilaji kikashindwa kupanda..dah..nilipanda kule juu alafu cha ajabu wahundum wamevaa mashati tu..arghhh baridi lile ht km una match unashindwa kuperform aisee[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina test mitambo leo......
Nastua engen kidogo.....
Ova
View attachment 1011213
Sent using Jamii Forums mobile app