b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,194
- 2,114
We mzee?Babylon napitaga tu, naona pamechangamka. Binafsi napenda sehemu yenye utulivu. Panafaa kwa vijana
We mzee?Babylon napitaga tu, naona pamechangamka. Binafsi napenda sehemu yenye utulivu. Panafaa kwa vijana
Nishaupita ujana wa kwenda sehemu Kama hizo. Nahisi vurugu na makeleleWe mzee?
Noma Sana.Nishaupita ujana wa kwenda sehemu Kama hizo. Nahisi vurugu na makelele
Kikoje?Noma Sana.
Iko kiavatar chako vipi?
Hahahaha, nami Jana nimekitazama hiko ki avatar ,ila kiko vzrKikoje?
Noma Sana.
Iko kiavatar chako vipi?
Kikoje?
Ulisita kuuliza? [emoji1787][emoji1787]
Ulisita kuuliza? [emoji1787][emoji1787]
Poleee
Nishaondoa ugeni,siku tatu nishajiona mwenyeji.hahahahahhahaha....kwahyo leo una ugeni
Kimefanana na Chalfrancisco kumbe wewe Demi ni KE au ni ndugu.Kikoje?
Mbona hazijafanana? Utakuwa na makengezaKimefanana na Chalfrancisco kumbe wewe Demi ni KE au ni ndugu.
Sometimes nina makengeza ya bhangi wala hujakosea Demi,shukrani kwa kunidirect kwenye location jana.Mbona hazijafanana? Utakuwa na makengeza
Wapi ulienda? Shivers? Aisee..Sometimes nina makengeza ya bhangi wala hujakosea Demi,shukrani kwa kunidirect kwenye location jana.
Nilichukua Skunk na kupiga shot moja Babylon nikaelekea shivers sijakupenda wadada wa Pale wanakuita mume wangu,nikaelekea Cocolico nimependa kokoliko na hali ya hewa ya A town.Wapi ulienda? Shivers? Aisee..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hutaki mke wewe?Nilichukua Skunk na kupiga shot moja Babylon nikaelekea shivers sijakupenda wadada wa Pale wanakuita mume wangu,nikaelekea Cocolico nimependa kokoliko na hali ya hewa ya A town.