Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,093
- 100,561
Kufata Malaya si ujasiri Bali ni uoga. Unatumia kinywaji gani now?
Ni ujasiri kwakuwa hujui unakutana na kitu gani inabidi ujilipue hivyo hivyoKufata Malaya si ujasiri Bali ni uoga. Unatumia kinywaji gani now?
VizuriNi ujasiri kwakuwa hujui unakutana na kitu gani inabidi ujilipue hivyo hivyo
Mimi natumia konyagi ndio ninayopenda, beer na kila pombe ila bado sijaanza nipo barabarani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap, mostly wine but Leo nakunywa beer
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] How are you my friend?Nyie walevi wa humu mbona mkilewa hamuandiki kiingereza? Au mnaongea wenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa fineeee, mm mda wote km nimelewaaa, nakumbuka baba yng alishawahi niambia, "ww siku unakunywa pombe hata kijikoo, ndio mwisho wa ndoto zako na kuanza kuchanganyikiwa"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] How are you my friend?
Hahahaha, ndio umeanza kidhungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] How are you my friend?
Yes mkuu, Ila nahisi sijalewa vzr maana hakipandi bado
Kwanini unapuuza maneno ya baba?Hahaaa fineeee, mm mda wote km nimelewaaa, nakumbuka baba yng alishawahi niambia, "ww siku unakunywa pombe hata kijikoo, ndio mwisho wa ndoto zako na kuanza kuchanganyikiwa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu, Ila nahisi sijalewa vzr maana hakipandi bado
Alikutisha tuu mkuuHahaaa fineeee, mm mda wote km nimelewaaa, nakumbuka baba yng alishawahi niambia, "ww siku unakunywa pombe hata kijikoo, ndio mwisho wa ndoto zako na kuanza kuchanganyikiwa"
Sent using Jamii Forums mobile app