Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Walevi hatujawahi ingusha nchi..
Tuendelee kulipa kodi asee..[emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji16]
233412cb88ae9d9e58d9587d371a5e3a.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Unajaza nzi chalii [emoji51][emoji51]
 
Wakuu mliopo mwanza nipeni chimbo nzuri maana ni mgeni jijini bado natangatanga sijapata chimbo la uhakika la kuendeleza chama letu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom