Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ngoja leo nile kuku wa kisasa karibuni wanajamvi me nimeanza hivi.
IMG-20190124-WA0069.jpeg
IMG_20190126_172603.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bia barrrrdiiiiii, inatoka umande [emoji23][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Beer yenye hasira ya kumezwa . Wazungu wanasema to take a swig ! Jamaa yangu mmoja chuga anasema ukiwa unakunywa beer lazima koo na moyo vishirikiane... moyo uwe tarayi kupokea kinachopitishwa na koo... hapo ndo raha ya beer inapokuja kikamilifu. Ukikaa na huyu jamaa kuanzia saa kumi jioni, kesho saa tatu asubuhi inawakuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom