Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Beer yenye hasira ya kumezwa . Wazungu wanasema to take a swig ! Jamaa yangu mmoja chuga anasema ukiwa unakunywa beer lazima koo na moyo vishirikiane... moyo uwe tarayi kupokea kinachopitishwa na koo... hapo ndo raha ya beer inapokuja kikamilifu. Ukikaa na huyu jamaa kuanzia saa kumi jioni, kesho saa tatu asubuhi inawakuta.


hahahhaahhaa...eti vishirikiane..hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom