Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23]..sometimes uko innocent kabisa il mazingira yanahukum. Kuna siku tuko na wana tu. Katikati ya kikao, kuna binti nilimnunulia Savannah. Sasa bill nikaitia kwenye wallet kimakosa. Asubuhi naulizwa... Nishasahu kuhusu yule mwanamke.... Aise niliongea hadi maneno yakaisha

Proverb 3:5-6
Pole sana mkuu kuishi na hawa viumbe inabid umuwahi akili mbele kdgo maana mie ysliyonikuta ile kuamka asbh mbona hangover ilikata yenyewe nlipigwa ambush ya hatar najitetea naonekana mwongo
 
[emoji23]..sometimes uko innocent kabisa il mazingira yanahukum. Kuna siku tuko na wana tu. Katikati ya kikao, kuna binti nilimnunulia Savannah. Sasa bill nikaitia kwenye wallet kimakosa. Asubuhi naulizwa... Nishasahu kuhusu yule mwanamke.... Aise niliongea hadi maneno yakaisha

Proverb 3:5-6

😂😂😂😂 mm ndo mnaniambia hapa wenzangu wanakagua had hizo mambo hahahahaha..nipo nyuma ya kalenda sana
 
Hahahaha mim kabla sijaanza kulewa hua naweka alarm kali nakadiria mida ya kurud hom then alarm ikiita tu hata kama nko njiani nasimama kwanza najisachi nkiwa clean naenda hom maana nliwah haribu sana kwa mwanamke wangu mpaka nkaachika kisa huu upuuzi
Mm imenitokea week 2 zilizopita nimefika home niko bwax kesho naamka naletewa bill elfu 53 wife kamind sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom