Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kuna kipindi nilipitia huko, ikafikia hatua silewi kabisa, nilipitia tatizo fulani nikaamua kupumzika home wiki mbili ilikuwa ni kuanzia asubuhi mpaka asubuhi, nakaa home ikifika saa 6 usiku naliamsha mpaka saa 12 asubuhi ikabidi niitwe kikao na wazee maana habari zangu walizisikia, afu nikawa nna temper ya ajabu silewi ila hasira[/QUO

😂😂😂 duh pole sana bora ulitoka huko..hahaahaha mie mwenyew kuna hali ya ukakasi naipitia sipiti kbs bar...narudi zangu hom nashika tu shavu..sitak kuharibu na haya makitu kbs😂😂 pole
 
Nikutumie moja [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngj nichkue konyagi isindikizane na biaa

Ova
20190123_193554.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi ionyeshe kuna Savannah au Redds.... View attachment 1003024

Proverb 3:5-6
Hahahaha mim kabla sijaanza kulewa hua naweka alarm kali nakadiria mida ya kurud hom then alarm ikiita tu hata kama nko njiani nasimama kwanza najisachi nkiwa clean naenda hom maana nliwah haribu sana kwa mwanamke wangu mpaka nkaachika kisa huu upuuzi
 
Hahahaha mim kabla sijaanza kulewa hua naweka alarm kali nakadiria mida ya kurud hom then alarm ikiita tu hata kama nko njiani nasimama kwanza najisachi nkiwa clean naenda hom maana nliwah haribu sana kwa mwanamke wangu mpaka nkaachika kisa huu upuuzi
[emoji23]..sometimes uko innocent kabisa il mazingira yanahukum. Kuna siku tuko na wana tu. Katikati ya kikao, kuna binti nilimnunulia Savannah. Sasa bill nikaitia kwenye wallet kimakosa. Asubuhi naulizwa... Nishasahu kuhusu yule mwanamke.... Aise niliongea hadi maneno yakaisha

Proverb 3:5-6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom