Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Sawa chief, enjoy.
[emoji123][emoji120]
1548230269127.jpeg

Jr[emoji769]
 
mrangi mimi si mnywaji, nimejifunza kidogo kugusa gusa balimi mwaka 2014..
Yani nikinywa 4 aisee nalewa mpaka nakosa utambuzi😂😂😂
Nakaa hata mwaka sigusi kilevi😎😎
mkuu acha uwoga ukiona haujitambui baada ya kunywa juwa kabisa hapo upo kwenye meditation na akili inafanya hypothesis formulation sasa unachotakiwa kufanya ni kutafuta vipe vichupa vya Mshana Jr vile vivaluer ukipiga kimoja tu unapata illumination. Mwambie Mshana Jr akupe code za kupiga vile vichupa utapata super natural Power
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaendeleaje wewe?

Jr[emoji769]
 
mkuu acha uwoga ukiona haujitambui baada ya kunywa juwa kabisa hapo upo kwenye meditation na akili inafanya hypothesis formulation sasa unachotakiwa kufanya ni kutafuta vipe vichupa vya Mshana Jr vile vivaluer ukipiga kimoja tu unapata illumination. Mwambie Mshana Jr akupe code za kupiga vile vichupa utapata super natural Power
😁😁😁😁😁😁😁😁
Aisee hii khali sana!
Ngoja siku nikigonga tena beer mwakani nitaongezea na k vant🏆
 
Muige mrangi ufe

Kuna kipindi nilipitia huko, ikafikia hatua silewi kabisa, nilipitia tatizo fulani nikaamua kupumzika home wiki mbili ilikuwa ni kuanzia asubuhi mpaka asubuhi, nakaa home ikifika saa 6 usiku naliamsha mpaka saa 12 asubuhi ikabidi niitwe kikao na wazee maana habari zangu walizisikia, afu nikawa nna temper ya ajabu silewi ila hasira
 
mkuu acha uwoga ukiona haujitambui baada ya kunywa juwa kabisa hapo upo kwenye meditation na akili inafanya hypothesis formulation sasa unachotakiwa kufanya ni kutafuta vipe vichupa vya Mshana Jr vile vivaluer ukipiga kimoja tu unapata illumination. Mwambie Mshana Jr akupe code za kupiga vile vichupa utapata super natural Power

Au apige double kick moja akijisikia hiyo hali mlango wa fahamu utafunguka tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom