Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Duh mambo ya ndani hayo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wengine sisii tulishashindikana.....
Mimi unipangieee muda wa kurudii hapo utaisomaa namba

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm mwenyew kuniletea kiburi yani naweza nikaharibu zaidi sasa[emoji23]sisi wengine ndo tuko kama Jiwe yani ukinipangia ndio unaharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anampa kila mtu ubavu wake wa kuendana nae:sema mzee ww umezidi huyo mama mrangi najua atakuwa anakesha na kuomba angalau uwe unawahi kurudi hata kama uko tungi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washafanya maombi mpk wamechokaa
Sahv wame muteee
Pombe tu hapa....ila mm Nna bonge la busara
Full Amani

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anampa kila mtu ubavu wake wa kuendana nae:sema mzee ww umezidi huyo mama mrangi najua atakuwa anakesha na kuomba angalau uwe unawahi kurudi hata kama uko tungi

Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me, watu kama mrangi huwa wanachange, ukiambiwa walikua wanaaamsha 24 hours huwezi amini. Nina wafaham wengi sana dizaini zake. Yupo mmoja nilishangaa kukuta kwake, ametoa kikabati cha pombe na kuweka sanam la Yesu... [emoji23]

Proverb 3:5-6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom