Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,566
Bar zote za moshi hpo nishazijua ukikaaa tu naijuaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndio bablai
Unarudi Moro!?nilikua pande hizo aisee ndo narudi[emoji26][emoji26]...
.thank you..
asante...ninavyopapenda sasa..nitarud tena chuga aisee
Karibu sana tuenjoy huku hamna joto sana,hali ya hewa nzuri ,nyama choma kama zote na vingine vingi bia inashuka tu taratiibuasante...ninavyopapenda sasa..nitarud tena chuga aisee
Karibu sana tuenjoy huku hamna joto sana,hali ya hewa nzuri ,nyama choma kama zote na vingine vingi bia inashuka tu taratiibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi Moro au darntakuja aisee...karibu na ww huku..joto [emoji22]
kote tu
Dar nakujaga sana haipiti mwezi sjaja ila hilo joto sasa ndio silipendi mm nishazoea baridi:huko moro mara moja moja ila sjabahatika kutembea sana ila ntakuja tu kutembeakote tu
Dar nakujaga sana haipiti mwezi sjaja ila hilo joto sasa ndio silipendi mm nishazoea baridi:huko moro mara moja moja ila sjabahatika kutembea sana ila ntakuja tu kutembea
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar nakujaga sana haipiti mwezi sjaja ila hilo joto sasa ndio silipendi mm nishazoea baridi:huko moro mara moja moja ila sjabahatika kutembea sana ila ntakuja tu kutembea
Sent using Jamii Forums mobile app