Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Akifika Moro usimzimie simu tu mkuu,hahah

Injinia soma hiooooooooooooooo,chiki chiki chiki eeeeeeeeeh

😅😅😅😅utoto huo sina... ila kina watu mie najikutaga sina mzuka wa kuonana nao..wenye utoto utoto mwingiii mimi hapana..sijawah zima simu ila huwa nasema nipo tyt👍
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]utoto huo sina... ila kina watu mie najikutaga sina mzuka wa kuonana nao..wenye utoto utoto mwingiii mimi hapana..sijawah zima simu ila huwa nasema nipo tyt[emoji106]
Hahah hamna noma mkuu,maana kwa hizi comments zetu kwa jiwe mtu anaweza kuja mkoani ukamkimbia hivi hivi aisee,hahah.
 
Ni kweli ila we chunguza wanywa banana wengi kua ni wale watu walochoka maisha,pombe gani bana unakunywa unalegea legea na kuvimba mashavu mm staki asee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu wewe kama ni mzawa wa Chuga hautaishangaa banana coz iko long time,hicho ni kinywaji cha watu choka mbaya though kuna wazungu kibao wenye mpunga nawajua wanagonga banana wine fresh tu.
 
Me ni mzawa kabisa tena town kabisa mianzini ila ukweli sjawahi muona mzungu anakunywa nana
Hahah mkuu wewe kama ni mzawa wa Chuga hautaishangaa banana coz iko long time,hicho ni kinywaji cha watu choka mbaya though kuna wazungu kibao wenye mpunga nawajua wanagonga banana wine fresh tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah mkuu wewe kama ni mzawa wa Chuga hautaishangaa banana coz iko long time,hicho ni kinywaji cha watu choka mbaya though kuna wazungu kibao wenye mpunga nawajua wanagonga banana wine fresh tu.
Nana naonaga ni machalii ambao bado wadogo na wazee wazee ambao umri umeenda ndio wanakunywa ila kijana na nguvu zake na ni mpambanaji ni ngumu umkute na nana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom