Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Namalizia malizia
20190105_190347.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia Mithali 31:4
4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?
5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Biblia Mithali 31:4
4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?
5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Karibu kinywaji

Ova

Karibu, mwezi wa 6 naanza kukamua mafuta ya Alizeti, nipe address yako nitakutumia ndoo moja.....pia ninakukaribisha kinywaji[emoji482][emoji482]
IMG_20190102_171120.jpeg

Karibu Serengeti lite baridi na kitimoto mkuu[emoji26][emoji39][emoji39]

1 WAKORINTHO 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Karibu, mwezi wa 6 naanza kukamua mafuta ya Alizeti, nipe address yako nitakutumia ndoo moja.....pia ninakukaribisha kinywaji[emoji482][emoji482]

Sent using Jamii Forums mobile app

WAGALATIA MLANGO 5
19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom