Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

WAGALATIA MLANGO 5
19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
Naomba nikuache maana nakuheshimu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAGALATIA MLANGO 5
19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
Urithi wa mungu hautarithiwa na wote ktk ukristo ila tumeahidiwa ufufuo
 
g
Biblia Mithali 31:4
4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?
5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Good soma namba 6
 
Naona unakazana kutoa kibanzi kwenye jicho la mwengne bila kutoa boriti kubwa katika macho yako.ombi kwako na ujumbe ni JITATHMINI ...mrangi pale wape tatu mwambie mangi aandike kwenye daftari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
1546751910784490590971.jpg
Nimeamka sasa nikasema nizimue nimekutana na watoto wa matejoo wanazimua nikaamua nianze na toti kesho nategemea kurudi nimemaliza majukumu leo ni kuweka vitu kwa hasira..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom