Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mi mdio naingia sahizi SAA 04:58 we acha tu.
Nazimulia kwa bed ya gesti hausi niko safarini... Baridi kama yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1546568866138.jpeg


Jr[emoji769]
 
kidogo Mkuu nataka nihamie kwenye wine, Bia nitakuwa nakunywa mara mojamoja...

Upepo wako nauelewa Boss muda wowote unaweza weka kisichana mezani...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo ntakaza mpk kesho ntajitahidi[emoji23] [emoji23]
Wine ni nzuri kwa afya pia especially kwenye mambo ya mzunguko wa damu mwilini

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom