Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Labda niwape siri ya ulevi kwa sisi tunaokunywa wine...

Nachukuli mfano hivi sasa nakunywa dompo wine ina alcohol 18% ni kwamba nikinywa glass moja ni kwamba nimebugia kiwango cha 18% of alcohol ...

so kwenye chupa utakuta kuna glass 3 za wine hivyo ukinywa glass 3 kwa interval ni kwamba utakuwa umekunywa kiwango cha alcohol 54%....
Duu hiki kikotoo hiki....

Jr[emoji769]
 
d968dcb57206fbaacc929687e1a3f131.jpg


Mwaka huu umeanza kwa baraka kuna dili fulani nilipiga now najipongeza kwa kelolo...
Dah safi sana

Jr[emoji769]
 
Aisee niko hapa nakunywa bia mara nakutana na mshua ananichangamkia tunaanza nunuliana pombe...

Aise kumbe ni naibu waziri aisee now nakunywa kwa kujinafsi hapa ni vyema kuwatambua hawa viongozi kwa sura sasa...
😂😂 safi sana..mie mwenyew kuna hoteli 1 nilienda bwana tena alone..akaja chenge na dreva wake wakaa pemben yangu wakala ile nikawa nimeagiza savannah..bas bwana mzee baba akaniambia binti mbn uko alone nikasema baba nimeamua tu kuja kupumzika ..hehehe akaninunulia vinywaji 😁😊kuunywaaaaaa na pesa juu!..
asante sana mzee baba chenge..mie yule dada ukonikuta 88..nataman urudi tena😂😂😂
 
😂😂 safi sana..mie mwenyew kuna hoteli 2 nilienda bwama tena alone..akaja chenge na dreva wake wakaa pemben yangu wakala .ie nikawa nimeagiza savannah..bas bwana mzee baba akaniambia binti mbn uko alone nikasema baba nimeamua tu kuja kupumzika ..hehehe akaninunulia vinywaji 😁😊kuunywaaaaaa na pesa juu!..
huja malizia story mzee mama
 
😂😂😂NN ww ulisema hunywag pombe ..

Nilikudanganya lini na wapi kuwa sinywi pombe?

Umeona kitu cha Double Kick hicho?

Sie maskini ndo pombe yetu hiyo sasa....

Kichupa kimoja 2,000.....43% alcohol.

Kwa Tsh. 4,000 unapata 86% ya kileo.

Ni Heineken ngapi hizo?

Hahahaa....
 
Nilikudanganya lini na wapi kuwa sinywi pombe?

Umeona kitu cha Double Kick hicho?

Sie maskini ndo pombe yetu hiyo sasa....

Kichupa kimoka 2,000.....43% alcohol.

Kwa Tsh. 4,000 unapata 86% ya kileo.

Ni Heineken ngapi hizo?

Hahahaa....

😁😁ila ni kali sana jaman hyo dah!..haya hongera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom