Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Let me reserve my alcohol dehydrogenase enzyme...

Maana wiki hii yote ilikuwa shida, now ni maji tu...
Mm mwaka mazimaaa na miezi kadhaa non-stop ngj leo nipumzike nmekuja kilingeni nakunywa maji muda tu jamaa haamini anasema duh vp tena tushazoea kukuona unapiga mtungi tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona bia haipandi ngoja nigonge kaschana ka kvant niskilizie.
IMG_20190102_210031.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom