Jana Mimi mwenyewe Katibu ilibidi niwe mpole tu maana huku kwetu unapajua jinsi kulivyoJana sikupiga maji sana bia chache mapema nkajifungiaaa
Maana siku ya jana wanywaji wnakuwa wengi wale wanafunzi newcomers wa pombe ndy siku wanayojifunzia pombe hapo Sasa!
Watu wazima tukajifungiaa tunawapisha wao [emoji23]
Leo sasa zamu yetu
Tunaendeleza
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana ehh unaweza pigwa chupa au jiweJana Mimi mwenyewe Katibu ilibidi niwe mpole tu maana huku kwetu unapajua jinsi kulivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa na ukienda polisi wanaona ugomvi wa waleviBwana ehh unaweza pigwa chupa au jiwe
[emoji23] [emoji23] alafu Ukienda kushtaki wanasema ww ndy mtata...
Jna ndy siku ambayo watu wengi duniani wanajifunzaga pombe kunywa hpo sasa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!jna sehemu kbwa watoto walikuwa ndy wana test pombe kunywa hpo lzma iwatingishe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji15][emoji15][emoji15] nimekaribishwa tu kitaa
Jr[emoji769]
Hahahaha hata sijui nianze na ipiSikoomi... Sikoomi.. Licha ya hangover za jaaana View attachment 982863View attachment 982864
Jr[emoji769]
Kwa dogo langu na mtani wangu FrankHeri Ya Mwaka Mpya. Jana ilikuwa noma sana pale Pestana Dom.
Kwa dogo langu na mtani wangu Frank