Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

2019 nimeamua kuachana na ulevi. Nimeanza kugonga hivi vitu vyepesi Tena kihome home.
IMG_20190101_193604.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda niwape siri ya ulevi kwa sisi tunaokunywa wine...

Nachukuli mfano hivi sasa nakunywa dompo wine ina alcohol 18% ni kwamba nikinywa glass moja ni kwamba nimebugia kiwango cha 18% of alcohol ...

so kwenye chupa utakuta kuna glass 3 za wine hivyo ukinywa glass 3 kwa interval ni kwamba utakuwa umekunywa kiwango cha alcohol 54%....
 
Basi nitakuwa napombeka sana ninakunywa chupa 3 inakuwaje hapo [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee niko hapa nakunywa bia mara nakutana na mshua ananichangamkia tunaanza nunuliana pombe...

Aise kumbe ni naibu waziri aisee now nakunywa kwa kujinafsi hapa ni vyema kuwatambua hawa viongozi kwa sura sasa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom