Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unabadili gear angani Wick wangu katekwa jamaniii
nikutumie namba ya kumtoa alipotekwa!?..
 
Nazitwanga tu
IMG_20181229_204451.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha " gia angani vipi sasa !!! Lol inamaana umeshanipa mwanamke humu bila hata mimi kujijua " mhh ndio maana nakupendaga ..hebu niweke huko faster nikaifaidi dunia ..

Wick analalamika eti umemfilisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia kila siku cheza na pande zote sio Tangaa, mwenzio navaa kikoi siku hizi!..
 
Ndio namshangaa " yule jamaa yangu sijui vipi " ....

Wick eti mkuu shunie jinsi alivyo mweupe namna ile kama anatokea abuu dhabi hata akikufilisi si faradhi kabisa hiyo mkuu tena halali kabisa yaani " ....kama mimi ningekuwa ndiye wewe naenda kuuza na wale ng'ombe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia kwa umbo lake tu, akifika kwa mama wick angehongwa ndama kama 5 hivi!.. Ila hajiamini tu!
 
Hahaa wee hamnazo kweli khaaa !!! ... mbona umeng'ang'ania kwamba mimi shemeji yako wakati Wick kaniambia umem-mwaga au ndio wanikataa kijanja ... !!?

Kwahiyo nisiende bank kuchukua mkopo !?
nimerudi juzi juzi nasakiziwa mtumia dildo!... Nipo single hearly nitafutie malaika kama wako tu!!..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom