Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,401
- 465,253
Acha wivuuuu we mzee wa swazilandUnaona unavyoitwa Mzee.
Hapo ukuta unatengenezwa
Acha wivuuuu we mzee wa swazilandUnaona unavyoitwa Mzee.
Hapo ukuta unatengenezwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana tulia,Rais Magu kanifurahisha Sana khs kikokoteo, maana 2021 na staafu ,kuna mzigo wa kutosha kule hazina
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipiii mjeda jamaniii
Ndio namshangaa " yule jamaa yangu sijui vipi " ....Hahhaha mwehu wewe sasa namfilisi vipi na vile alivyo mbahili huyo mnyantuzu
Mkeo Ninae hapa amekuja dukani " ndio anamalizia kuusoma huu Ujumbe ... kasema leo utafute pakulalaKijana tulia,Rais Magu kanifurahisha Sana khs kikokoteo, maana 2021 na staafu ,kuna mzigo wa kutosha kule hazina
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mbahili hawezi kukuelewa kabisaNdio namshangaa " yule jamaa yangu sijui vipi " ....
Wick eti mkuu shunie jinsi alivyo mweupe namna ile kama anatokea abuu dhabi hata akikufilisi si faradhi kabisa hiyo mkuu tena halali kabisa yaani " ....kama mimi ningekuwa ndiye wewe naenda kuuza na wale ng'ombe kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kweli we mzeeIla dah hii rangi na hiki kiumbo unaweza usiwe unatoka nje,halafu watu wakakusema umepewa 'LIMBWATA' kumbe wangejua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh sisi wengine tufanyaje ili tuweze kuwa na mabebez humu " Au ndio tuna miliki NUKSI DUMEHuyo mbahili hawezi kukuelewa kabisa
Nasikia mnaokunywa safari ndogo mkilewa lazima mpigane
Hahhaha gunduuuuuuu kaoge bahariniDada sisi wengine tufanyaje ili tuweze kuwa na mabebez humu " Au ndio tuna miliki NUKSI DUME
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu lipa kodi bila shurutiHuu uzi nimeuvulia KOFIA ... (shikaomoo shikamoo ) uzi wa walevi na wanywaji wote wa JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulisema mambo yako vibonge. Mbona hivyo kuingilia taste za Watu wengine!!Ila dah hii rangi na hiki kiumbo unaweza usiwe unatoka nje,halafu watu wakakusema umepewa 'LIMBWATA' kumbe wangejua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wenye chura mwenyewe kuna sehemu nilimbambaWewe ulisema mambo yako vibongo. Mbona hivyo kuingilia taste za Watu wengine!!
Hilo umbo naweza kukopea benkiAcha wivuuuu we mzee wa swaziland
Ebu kakope basi halafu zote uje kunipaHilo umbo naweza kukopea benki
Kumbe we mkali vilee, Hongera mutoto ya kike, I suppose mida ya night kwenye taa hafifu za club niko na wewe tunakula maisha na uko 0 distance! Damnnnn!Vipiii mjeda jamaniii
Hhahahhahah sio mkali bwana picha tu hizo usiogope mjedaKumbe we mkali vilee, Hongera mutoto ya kike, I suppose mida ya night kwenye taa hafifu za club niko na wewe tunakula maisha na uko 0 distance! Damnnnn!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila dah hii rangi na hiki kiumbo unaweza usiwe unatoka nje,halafu watu wakakusema umepewa 'LIMBWATA' kumbe wangejua...
Sent using Jamii Forums mobile app