Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiviii huyo si shemeji yangu lakini
Hahaa wee hamnazo kweli khaaa !!! ... mbona umeng'ang'ania kwamba mimi shemeji yako wakati Wick kaniambia umem-mwaga au ndio wanikataa kijanja ... !!?

Kwahiyo nisiende bank kuchukua mkopo !?
 
Hahaa wee hamnazo kweli khaaa !!! ... mbona umeng'ang'ania kwamba mimi shemeji yako wakati Wick kaniambia umem-mwaga au ndio wanikataa kijanja ... !!?

Kwahiyo nisiende bank kuchukua mkopo !?
Huyo jamaa ndio kaniacha mm kaniambia bado ametekwa huo mkopo wa sh ngapi eti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom