Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,813
Nilisha sema hii siridi ipo siku itanipoteza sasa ona
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji106][emoji106][emoji106][emoji115][emoji115][emoji115][emoji106][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji23]Mungu jarua
Haluna upendo wa kweli kama wa watu wa hii siridi
Ulieniletea funguo za ka usafiri kangu ubarikiwe
Mshana kwenye hii dunia ya kufikirika ya jamii forum kuna hii nchi ya walevi
Upendo wa hii nchi ya walevi juu ya dunia ya jamii forum ni upendo usio kifani.
Nimepata funguo zangu kutoka kwa mdau wa humu. Mungu akubariki.
Nilichogundua humu ndani unaweza jikuta unabishana na mjukuu wako huku ukiwa unamkatia kipande cha muhindi na usijue
.hongereni sana jf
hahahahahah...Mungu jarua

Nmerudi dar nmefikia kwa mangiMwenyekiti huu mzigo wa nanii[emoji23][emoji23]View attachment 978350
Pale mekuz ilikuwa balaaa nyomi si la kitoto ilikuwa sim ilizima chaji vp ulibukaniliingia mzigoni ila tuta onana tu katibu
Karibu Sanaa katibuNmerudi dar nmefikia kwa mangi
Ila moshi watu kodi wanajua lipa kwenye kipindi hiki
Ova
View attachment 979189
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeseleleka sana mmekuz na hugos hapo
Pole na safari katibuNmerudi dar nmefikia kwa mangi
Ila moshi watu kodi wanajua lipa kwenye kipindi hiki
Ova
View attachment 979189
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada Ya Hapo , Naongeza K Nyengine, Inakua "Triple K"Duu K na K