donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
leo katibuPale mekuz ilikuwa balaaa nyomi si la kitoto ilikuwa sim ilizima chaji vp ulibuka
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu nlikua nakunywaga Uganda sjui kama Tz ipo!?kama ipo nielekeze pa kuipata mkuuKahama hiyo tunasubiri tuanze kuitafuta bukobaView attachment 979242
Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu katibu nilijua umeingia mfungo binafsi wa kwaresma ya kupiga vyombo...Nmerudi dar nmefikia kwa mangi
Ila moshi watu kodi wanajua lipa kwenye kipindi hiki
Ova
View attachment 979189
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh....hii ngoma inaenda mpk 2019ndugu katibu nilijua umeingia mfungo binafsi wa kwaresma ya kupiga vyombo...
Katibu 2picha 2wili 2tatu basi tasavaliKwanza niwape salute wazee wa mekuz na hugos hpo moshi...ni balaa
Maana nyomi lile si mchezo
Saa tisa usiku ndy kwanza kama kumekucha ......
Watu Wako bize na tungi tu Safi sana Kelvin X
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu K na K
hahahaha...
Nna video mekuz labda nkutumie wee whatsap uiweke balaa la mekuz hpoKatibu 2picha 2wili 2tatu basi tasavali
Jr[emoji769]
PouwaNna video mekuz labda nkutumie wee whatsap uiweke balaa la mekuz hpo
Nakutumia sahv we upload kwa niaba yangu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
mdogo mdogo mpk new year hiyo