Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,241
- 11,781
dah!
kumependeza & kumeshona hatari
dah!
hahahaha hii bongo kweli??
itakuwa..Nadhani kwa jirani
Jr[emoji769]
Hii inanikumbusha 2009 sehemu fulani Dah
safi...!
hahahaha dah!Hii inanikumbusha 2009 sehemu fulani Dah
Ilibidi Gari la wagonjwa lije kumbeba mtu!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi huko
Ilikuwa kesi maana aliyezima kabebwa kupelekwa hospitali alikuwa mtoto wa kishua mmja Jina kapuni....hahahaha dah!
[emoji23][emoji23]Ilikuwa kesi maana aliyezima kabebwa kupelekwa hospitali alikuwa mtoto wa kishua mmja Jina kapuni....
Na mzee wake alikuwa anatulia mingo daily
Maana mtoto wke alikuwa anapiga tungi na kurudi home daily anarudi alfajiri...
Tukio hilo tulilianda na mchz wangu mmja yko muhimbiili dkta....
Jamaa alilazwa na kuwekewa drip
Siku hyo tuliweka kreti kama 20 konyagi mizinga 18,grants zilikuwepo...
Tulipiga tungi kuanzia saa nane mpk kesho yke Mara tukamshangaa jamaa kaganda haongei tukatoa taarifa kwa ndg zake wakaja kumbeba wakatukuta wote tko chakali
Akakimbizwa kwa kairuki...
Mzee wke akasema akivuta tutakiona[emoji23]
Tangu siku hyo michezo hyo sitaki skiaa
Sahv kwenye vikao kila mtu ajilete mwenyewe
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukanda wa kagera ipo mkuuHii kitu nlikua nakunywaga Uganda sjui kama Tz ipo!?kama ipo nielekeze pa kuipata mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahv kwenye vikao kila mtu ajitete mwenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
bora kila mtu abebe msalaba wake isije kuwa shida baadae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikuwa kesi maana aliyezima kabebwa kupelekwa hospitali alikuwa mtoto wa kishua mmja Jina kapuni....
Na mzee wake alikuwa anatulia mingo daily
Maana mtoto wke alikuwa anapiga tungi na kurudi home daily anarudi alfajiri...
Tukio hilo tulilianda na mchz wangu mmja yko muhimbiili dkta....
Jamaa alilazwa na kuwekewa drip
Siku hyo tuliweka kreti kama 20 konyagi mizinga 18,grants zilikuwepo...
Tulipiga tungi kuanzia saa nane mpk kesho yke Mara tukamshangaa jamaa kaganda haongei tukatoa taarifa kwa ndg zake wakaja kumbeba wakatukuta wote tko chakali
Akakimbizwa kwa kairuki...
Mzee wke akasema akivuta tutakiona[emoji23]
Tangu siku hyo michezo hyo sitaki skiaa
Sahv kwenye vikao kila mtu ajilete mwenyewe
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok huko mutukula boda lazima za Uganda ziingie kupitia hapo boda.
Nmehamia kwenye nyagi nmebadili gia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
HahaaaaIlikuwa kesi maana aliyezima kabebwa kupelekwa hospitali alikuwa mtoto wa kishua mmja Jina kapuni....
Na mzee wake alikuwa anatulia mingo daily
Maana mtoto wke alikuwa anapiga tungi na kurudi home daily anarudi alfajiri...
Tukio hilo tulilianda na mchz wangu mmja yko muhimbiili dkta....
Jamaa alilazwa na kuwekewa drip
Siku hyo tuliweka kreti kama 20 konyagi mizinga 18,grants zilikuwepo...
Tulipiga tungi kuanzia saa nane mpk kesho yke Mara tukamshangaa jamaa kaganda haongei tukatoa taarifa kwa ndg zake wakaja kumbeba wakatukuta wote tko chakali
Akakimbizwa kwa kairuki...
Mzee wke akasema akivuta tutakiona[emoji23]
Tangu siku hyo michezo hyo sitaki skiaa
Sahv kwenye vikao kila mtu ajilete mwenyewe
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmejisogeza kwa mangi naanza kushusha bombadiers.....ila mangi leo kanistua anasema kesho anakwenda moshi kula mwaka mpya!Hahaaaa