Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mimi ndio mwenye jina na avatar hapo juu,kwa hiyari yangu bila kulazimishwa na MTU, kuanzia tarehe 25/12/2018 nimeamua rasmi kuachana na matumizi ya pombe.NAWASILISHA.

Mkuu hii vita kushinda kwake sharti lake ni moja tuu... usitangaze ushindi kabla ya muda na baada ya muda. Shinda vita ya kuacha pombe kimya kimya bila ya kutangaza. Ukitangaza tuu! Kiu huja saba mara sabini. Na nakuhakikishia hukatizi siku tano utapata chochote. Kama kweli upo serious... usitangaze.
Mimi nayajua yote haya ajabu nipo hapa nakata maji zaidi ya mamba.
Wana Jf mnisaidie kushangaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabalagala ....gongolamboto
IMG_20180727_232215.jpg
 
Black woman nakutaman,njoo Tabora ule asali na kitimoto kwa Mushi
 
Mimi ndio mwenye jina na avatar hapo juu,kwa hiyari yangu bila kulazimishwa na MTU, kuanzia tarehe 25/12/2018 nimeamua rasmi kuachana na matumizi ya pombe.NAWASILISHA.
Hii kauli imenitoka mno, sasa sjui ilikiwa juzi ama jana
 
Mkuu hii vita kushinda kwake sharti lake ni moja tuu... usitangaze ushindi kabla ya muda na baada ya muda. Shinda vita ya kuacha pombe kimya kimya bila ya kutangaza. Ukitangaza tuu! Kiu huja saba mara sabini. Na nakuhakikishia hukatizi siku tano utapata chochote. Kama kweli upo serious... usitangaze.
Mimi nayajua yote haya ajabu nipo hapa nakata maji zaidi ya mamba.
Wana Jf mnisaidie kushangaa.
Huu ndio ukweli, siku ile stoo mpaka kunena kwa lugha nilitenda

Lakini sAsa hivi naanza kusikia ki rohho kinadundqa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom