Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Sijarudi gheto mikono mitupu hizo za kulalia...[emoji56][emoji56]
IMG_20181226_232932.jpg
 
Kwa wale machalii wa R karibuni Kokorikooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Nilikua Hapo, Mkesha Wa Xmas, Nadhani Kwa R Chuga, Hao Ndio Wanaongoza Kwa Balaa, Nilikua Na Wife, Nilijuta Kwa Nini Nilikuja Nae, Nilikutana Na Kucha Za Hatari
Hahah chalaa angu pale ni nyoko arifu,nikitoka hapa ntaelekea pin point kumalizia asubuhi mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom