Kiwanja changu iko pamoja na mebs nyuma ya cloudskawe
Nipo kwa mangi naliendeleza....Mdau wangu wa Heineken house, upo katibu?
Safi Sana km.huwa upo mitaa hy nikiwa mjini ,tutaweza kugumiana hapoHapa ndio karibu na ofisi yangu so nikitoka lazima nipige mbili tatu then niende home masta
Sala na Kazi.
Mbona tayariBado replies 2.... tugonge ...10000
Kwa hiyo hapa mkuu unabweda tu...
Kama KawaKwa hiyo hapa mkuu unabweda tu...
Tripple 7 'washenzi' wale.
Duhhazard cfc unasemaga mi mlevi eeeh. Sasa hizo chupa za jameson kila mrembo Ana chupa lake wanashindana kumaliza. Niko nakomaa na Heineken zangu zikiisha naweka chupa langu na mimi View attachment 974577