Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Da ila pombe inaladha
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
yake kama budget yake ipo imetulia sehem
 
IMG_1960.JPG


Kazi na dawa
 
Alafu labda kuwe na mtoto mkali sehem hiyo wajue we ndo unambandua alafu ukicheki mtoto hashoboki kwao lazima watakuanzishia vitimbi na hapo ndo panapotokeaga mtafaruku.
Mi siwezi kunywa mahali hao jamaa wapo sababu wanaomba balaa, na ukiwanyima visa vinaanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom