Hope umezimaliza white...Sawa.... ninazo ndani zile za 500mls kila siku napiga mbili nalala [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo nexus hapa makumbusho...Mdau wangu wa Heineken house, upo katibu?
Aisee jicho limetua kulee kwenye pango
Mwenyekiti huu uzi uliupeleka kilingene kwenda kuutambikia nn maana sikuuona mda kweliWeka location inavutia...
Mkuu kama nakuona unavyotaka kumpanua mapaja mamaa wa watu...
Fanya kama unazoom iv[emoji1787][emoji1787]Giza limeingia kiyupi hakionekani
Mkuu si una mke.... [emoji1][emoji1][emoji1]Giza limeingia kiyupi hakionekani
Anakunywa tu...Kuna ndugu anauliza hapa ana homa na anameza vidonge vya Ampicillin, dozi inaisha keshokutwa (jumapili) sasa amepania kula bia Xmass, Je itamruhusu? Mimi sizijui dawa nimeshindwa kumjibu nisaidien
Nipo nexus hapa makumbusho...
Nikitoka hapa nakuja hapo kumalizia unywaji mkuu...
Hii ni maeneo ya mikocheni karibu na Kairuki Hospital ?
Anakunywa tu...
Hakuna tatizo... dawa tunayo ogopa ni metronidazole A.K.A Flagyl pekee
Hii ni maeneo ya mikocheni karibu na Kairuki Hospital ?