Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

hahahhaaa, mkaongozana mpaka kwa wife, konyagi sio kabisa, halafu unafika home unamharass wife awatengee msosi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, konyagi a.k.a kifutio

Kweli , 'Chonde Chonde Ulevi Nomaa'
 
Wakuu nliadimika ila mambo ya majukumu ndio nimeingia mjini naanza hivi.
IMG_20181222_220627.jpeg
 
Nikikumbuka siku niliyopiga mitungi/konyagi na kisha kuondoka na demu, badala ya kwenda nae guest nikaenda nae hadi home kwangu na wife ndiye aliyetufungulia mlango!!!Sikuamini macho yangu na hadi leo hii Bar imegeuka kituo cha Polisi kwangu!
Duuuh hiyo ilikua mbaya
 
HUENDA WAHITAJI...
* Kusajili kampuni
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
BEI ZETU HAZINA USHINDANI, MIKOANI PIA TUNAHUDUMIA
Na bia napewa au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom