Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Yes ndo hata na hivyo ndo natumiaga sema leo nikasema ngoja nitulie mtaani ndo maana nikatumia hiyo energyTonic ama club soda
Yes ndo hata na hivyo ndo natumiaga sema leo nikasema ngoja nitulie mtaani ndo maana nikatumia hiyo energyTonic ama club soda
Si unajua tena siku moja moja kujichanganya mtaa upate yanayoendelea mtaani coz mara kibao ni weekend ndo narudi kitaa siku za kazi ni job till weekendTonic ama club soda
PoaYes ndo hata na hivyo ndo natumiaga sema leo nikasema ngoja nitulie mtaani ndo maana nikatumia hiyo energy
Shukrani mkuu walevi tunajaliana [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Maji ya kutosha.
Wengine huamka na hangover wengine vichw huuma, wengine hawawezi kula chochote isipokua Soup. hilo ni tatizo.
pombe kitaalamu ina tabia ya kunyonya maji mwilini na hivyo kuipa figo ugumu wa kufanya kazi. Hatimaye kichwa huuma.
Tiba.
baada ya kupata dagi, ni vyema kabla ya kulala upate walau glass mbili za maji (Nusu lita). Utaamka bila hangover, kichwa kuuma au kushindwa kupata msosi wowote..
Cheers!!!
napaelewa sana chuga mandhari safii kabisaa dah!
BaridiiiiiView attachment 959239
Mimi huwa naamka na kiporo cha ugali na parachich hainaga mning'inio kwanguMaji ya kutosha.
Wengine huamka na hangover wengine vichw huuma, wengine hawawezi kula chochote isipokua Soup. hilo ni tatizo.
pombe kitaalamu ina tabia ya kunyonya maji mwilini na hivyo kuipa figo ugumu wa kufanya kazi. Hatimaye kichwa huuma.
Tiba.
baada ya kupata dagi, ni vyema kabla ya kulala upate walau glass mbili za maji (Nusu lita). Utaamka bila hangover, kichwa kuuma au kushindwa kupata msosi wowote..
Cheers!!!
Nmerudi na chenji babake
Hawa wna nmewaibukia kwao muda wanafanya hvi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana.....Jana nmekeshaaa na sahv naendelea sahv tumetoka kumkurupusha dada mmja ana ki grocery chke dada hyo ana rangi ya mpodo kama ShunieJana ilibidi nionje japo kabia ka sebleni pub ili nione je leo kwenye uzinduzi nihudhurie au laa. Siwezi kosa ka kiwanja kapya kakula bia na mama sehem ilojifiiicha hamna paparaz wala kelele za oh huyu ni manz angu sebleni pub sinza mori leo uzinduzi rasmiView attachment 959883
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana.....Jana nmekeshaaa na sahv naendelea sahv tumetoka kumkurupusha dada mmja ana ki grocery chke dada hyo ana rangi ya mpodo kama Shunie
Ova
View attachment 959888
Walipa kodi wanaochangia uzi huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba majina yap[emoji34]