Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu kuna bidhaa kwenye January zitangia ntakustua uzifanyie michakato

Ova
Pouwa tunasongesha huku.... Samahani kwa picha iliyo nje ya mada
IMG-20181207-WA0119.jpeg
 
Mm ndy nmeingia korogwe toroka uje zamani....wasiyompenda kaja
Uzushi mwanzo mwisho [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Poa poa mi ndio nimelianzisha na niugenini naogopa kujiunga na niliowakuta nimekaa kinyonge mpaka nilewe kitaeleweka tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom