mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,423
- 138,193
Mambo vepe mwekahazinaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa sijalewaaaaa ila nmeozaaaaa
Ova

Mambo poa. Naona umeshalianzisha [emoji28][emoji28][emoji28]Mambo vepe mwekahazinaaa
Hapa sijalewaaaaa ila nmeozaaaaa
Ova
No.....tumeliendelezaMambo poa. Naona umeshalianzisha [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]No.....tumeliendeleza
Ova
Uhuru day si inakaribiaaa au[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mapombe asee
Jana nilitupia mapemaa tuu kama saa saba nikawa niko nginja ya hatari.
Saa kumi na mbili hivi nikaamka nikamalizia ka kipolo changu na msosi, aghhhhhhhhrrrr nikawa nimezishtua nikawaka upya. Ambacho sikukumbuka ni swala la siki, nimeshtuka leo asubuhi nikaingia kwa bafu na wenge kucheki saa nikaona nishachelewa kanisani.
Haa mimi mbio nafika kanisani ki jasho cha njaa na hangover sasa duu. Hafu niko pekee yangu nikajua ibada nimeiwahi.
Nilikuta kanisa liko wazi nikaingia nakuja kishtuliwa na wafanya usafi naambiwa hamna ibada. Siku hoji vizuri kumbe ndio nakumbuka kuwa leo ni j"mos
Ndio hivyo nishapata mwaliko majuziUhuru day si inakaribiaaa au
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya mapombe asee
Jana nilitupia mapemaa tuu kama saa saba nikawa niko nginja ya hatari.
Saa kumi na mbili hivi nikaamka nikamalizia ka kipolo changu na msosi, aghhhhhhhhrrrr nikawa nimezishtua nikawaka upya. Ambacho sikukumbuka ni swala la siki, nimeshtuka leo asubuhi nikaingia kwa bafu na wenge kucheki saa nikaona nishachelewa kanisani.
Haa mimi mbio nafika kanisani ki jasho cha njaa na hangover sasa duu. Hafu niko pekee yangu nikajua ibada nimeiwahi.
Nilikuta kanisa liko wazi nikaingia nakuja kishtuliwa na wafanya usafi naambiwa hamna ibada. Siku hoji vizuri kumbe ndio nakumbuka kuwa leo ni j"mos
Daahh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mapombe asee
Jana nilitupia mapemaa tuu kama saa saba nikawa niko nginja ya hatari.
Saa kumi na mbili hivi nikaamka nikamalizia ka kipolo changu na msosi, aghhhhhhhhrrrr nikawa nimezishtua nikawaka upya. Ambacho sikukumbuka ni swala la siki, nimeshtuka leo asubuhi nikaingia kwa bafu na wenge kucheki saa nikaona nishachelewa kanisani.
Haa mimi mbio nafika kanisani ki jasho cha njaa na hangover sasa duu. Hafu niko pekee yangu nikajua ibada nimeiwahi.
Nilikuta kanisa liko wazi nikaingia nakuja kishtuliwa na wafanya usafi naambiwa hamna ibada. Siku hoji vizuri kumbe ndio nakumbuka kuwa leo ni j"mos
Nko kwa mangi napiga moja sasa niende off timeNdio hivyo nishapata mwaliko majuzi
Jamaa noma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Best acha kunihamasisha ngoja ninyeshe vitunguu kwanzaNko kwa mangi napiga moja sasa niende off time
Ova
Uko shamba unalimia wapiBest acha kunihamasisha ngoja ninyeshe vitunguu kwanza
Angeendelea na ibada ya pekee yake [emoji28][emoji28][emoji28]Inatokeaaga
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Angeendelea na ibada ya pekee yake [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwenye mifuko ya salfeti [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mashamba wanayo wenyeweUko shamba unalimia wapi
Ova
Haya mapombe asee
Jana nilitupia mapemaa tuu kama saa saba nikawa niko nginja ya hatari.
Saa kumi na mbili hivi nikaamka nikamalizia ka kipolo changu na msosi, aghhhhhhhhrrrr nikawa nimezishtua nikawaka upya. Ambacho sikukumbuka ni swala la siki, nimeshtuka leo asubuhi nikaingia kwa bafu na wenge kucheki saa nikaona nishachelewa kanisani.
Haa mimi mbio nafika kanisani ki jasho cha njaa na hangover sasa duu. Hafu niko pekee yangu nikajua ibada nimeiwahi.
Nilikuta kanisa liko wazi nikaingia nakuja kishtuliwa na wafanya usafi naambiwa hamna ibada. Siku hoji vizuri kumbe ndio nakumbuka kuwa leo ni j"mos
Unaongeza na muumba wako kimya kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova