Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mbn mm kila siku narudi tisa kumi usiku saa moja nshadamka hakuna matata mambo ya naenda...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hpo ulipo jaribu kuonja pombe nzuri itabadili maisha yko

Ova

Hapana aiseee

Siwezi.. mimi mshamba wa pombe.
 
Na nyie wengine shooo
Nimekuja uzi huu kuburudika mnaniletea ya ...
Hivi huwa mkinywa pombe zenu hamuongelei mengine.. eeeeeeh

Naona Cocochanel mnaniona ka siasa siasa tu.. embu mnitue shaaaa😀😀😀

Nitarudi mkimaliza kuhesabu vifuniko mlivyolipia eeeeeh...
 
Utamu wa pombe kujijua unatumiaje pesa kuburudika..

Kila unaponunua weka kifuniko mfukoni.. fika home weka ulipopaandaa..

Kila mwisho wa mwezi vihesabu kujipongeza.. eee.. hata vikiwa vya pombe kali.. usilie tu.. 🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: etb
Utamu wa pombe kujijua unatumiaje pesa kuburudika..

Kila unaponunua weka kifuniko mfukoni.. fika home weka ulipopaandaa..

Kila mwisho wa mwezi vihesabu kujipongeza.. eee.. hata vikiwa vya pombe kali.. usilie tu.. 🤣🤣🤣
Hii ni kwa ajili ya sisi walevi...je wale wa guest utawashauri watunze nn ajue gharama?
 
IMG_0518.JPG
IMG_0519.JPG

R Chuga town. DDO on duty.
 
Na nyie wengine shooo
Nimekuja uzi huu kuburudika mnaniletea ya ...
Hivi huwa mkinywa pombe zenu hamuongelei mengine.. eeeeeeh

Naona Cocochanel mnaniona ka siasa siasa tu.. embu mnitue shaaaa[emoji3][emoji3][emoji3]

Nitarudi mkimaliza kuhesabu vifuniko mlivyolipia eeeeeh...

Hivi umeolewa atii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom