Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pombe kali inahitaji hii kitu....Kona ya bwiru.
IMG_20181207_183305.jpeg
 
Eehh
Kuna jamaa alikuwa anakunywa konyagi na red bull siku mmoja akazitandika haswa halafu alikuwa na wife akaenda toilet kupunguza maji kurudi ameweka suruali begani chupi imeachwa chooni toka siku hiyo aliacha pombe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huko toilet kakutana na msala gani mpaka akarudi akiwa hivyo au alikata moto!?
 
Maji ya kutosha.

Wengine huamka na hangover wengine vichw huuma, wengine hawawezi kula chochote isipokua Soup. hilo ni tatizo.

pombe kitaalamu ina tabia ya kunyonya maji mwilini na hivyo kuipa figo ugumu wa kufanya kazi. Hatimaye kichwa huuma.

Tiba.

baada ya kupata dagi, ni vyema kabla ya kulala upate walau glass mbili za maji (Nusu lita). Utaamka bila hangover, kichwa kuuma au kushindwa kupata msosi wowote..

Cheers!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom