mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,423
- 138,193
Chupa ishaisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaongeza na muumba wako kimya kimya
Upo vzr, ushaamka!!
Daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mapombe asee
Jana nilitupia mapemaa tuu kama saa saba nikawa niko nginja ya hatari.
Saa kumi na mbili hivi nikaamka nikamalizia ka kipolo changu na msosi, aghhhhhhhhrrrr nikawa nimezishtua nikawaka upya. Ambacho sikukumbuka ni swala la siki, nimeshtuka leo asubuhi nikaingia kwa bafu na wenge kucheki saa nikaona nishachelewa kanisani.
Haa mimi mbio nafika kanisani ki jasho cha njaa na hangover sasa duu. Hafu niko pekee yangu nikajua ibada nimeiwahi.
Nilikuta kanisa liko wazi nikaingia nakuja kishtuliwa na wafanya usafi naambiwa hamna ibada. Siku hoji vizuri kumbe ndio nakumbuka kuwa leo ni j"mos
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh
Ova
Kesho nakupitia kwa mangi twende church [emoji41][emoji41]
Hanaga usingiziUpo vzr, ushaamka!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]polee mkuu,mm kuna siku kidogo niingie kwenye mtego kama huo sema ile natoka wife akaniuliza mbona nimetupia ivyo nikamwambia naenda kanisan,yaan alichekaHaya mapombe asee
Jana nilitupia mapemaa tuu kama saa saba nikawa niko nginja ya hatari.
Saa kumi na mbili hivi nikaamka nikamalizia ka kipolo changu na msosi, aghhhhhhhhrrrr nikawa nimezishtua nikawaka upya. Ambacho sikukumbuka ni swala la siki, nimeshtuka leo asubuhi nikaingia kwa bafu na wenge kucheki saa nikaona nishachelewa kanisani.
Haa mimi mbio nafika kanisani ki jasho cha njaa na hangover sasa duu. Hafu niko pekee yangu nikajua ibada nimeiwahi.
Nilikuta kanisa liko wazi nikaingia nakuja kishtuliwa na wafanya usafi naambiwa hamna ibada. Siku hoji vizuri kumbe ndio nakumbuka kuwa leo ni j"mos
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mapombe asee
Jana nilitupia mapemaa tuu kama saa saba nikawa niko nginja ya hatari.
Saa kumi na mbili hivi nikaamka nikamalizia ka kipolo changu na msosi, aghhhhhhhhrrrr nikawa nimezishtua nikawaka upya. Ambacho sikukumbuka ni swala la siki, nimeshtuka leo asubuhi nikaingia kwa bafu na wenge kucheki saa nikaona nishachelewa kanisani.
Haa mimi mbio nafika kanisani ki jasho cha njaa na hangover sasa duu. Hafu niko pekee yangu nikajua ibada nimeiwahi.
Nilikuta kanisa liko wazi nikaingia nakuja kishtuliwa na wafanya usafi naambiwa hamna ibada. Siku hoji vizuri kumbe ndio nakumbuka kuwa leo ni j"mos
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]polee mkuu,mm kuna siku kidogo niingie kwenye mtego kama huo sema ile natoka wife akaniuliza mbona nimetupia ivyo nikamwambia naenda kanisan,yaan alicheka
Wakati unajiandaa hajakuuliza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]polee mkuu,mm kuna siku kidogo niingie kwenye mtego kama huo sema ile natoka wife akaniuliza mbona nimetupia ivyo nikamwambia naenda kanisan,yaan alicheka
Muhimu kupokea michango yenu ukiwa mwenyekiti anzisha kutoa[emoji38][emoji38][emoji38]Asante ngoja nifike kilingeni...
Nishaandika tuma sasaAndika laki ya kianzio
Katibu soma hapa vuongozi tuonyeshe mfanoAndika laki ya kianzio
Nilikurupuka kucheki mda zimebaki dakk5 na yy kalala nikaona mpaka nimuamshe ntazidi kuchelewa namaliza kujiandaa ndio na yy anaamkaWakati unajiandaa hajakuuliza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikurupuka kucheki mda zimebaki dakk5 na yy kalala nikaona mpaka nimuamshe ntazidi kuchelewa namaliza kujiandaa ndio na yy anaamka
Sema mwekahazina@nlikuwa namaliziaa Kimeo fulani cha mtu dahh napiga jaramba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]