binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,807
- 46,927
Haya msalimie bebi-bibi.Swadakta kabisa, Kiko na hizi mvua mvua inafaa sana
Fanya kuniletea Mjukuu maana arosto niliyonayo Babu yako sio ya Nchi hii 🤗
Haya msalimie bebi-bibi.Swadakta kabisa, Kiko na hizi mvua mvua inafaa sana
Fanya kuniletea Mjukuu maana arosto niliyonayo Babu yako sio ya Nchi hii 🤗
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu 😆 😂Ila mama wa kuzogoa jau kweli🤣🤣🤣
Nitamsalimia Bibi yako, ila ungefanya uje unisalimie Babu yakoHaya msalimie bebi-bibi.
Haya babu.Nitamsalimia Bibi yako, ila ungefanya uje unisalimie Babu yako
Si unajua nimeanza kupoteza kuona, nisije kuanza kupapasa kuweza kutambua wajukuu 😅
Nitakusubiri kukuona Mjukuu 🤗Haya babu.
HongeraNashukuru nimenza kupunguza tungi asee
Mambo mengi tu mkuuKwanini sasa😭
Wapi hii mkuu mshana
Huko tayari ishakua saa 7 usiku?
Mno bwashee 😁 juzi nilidai sinywi tena ila now nimekaa mahali nakula bia kama mwehu😅Wazee wa vyombo
Hahaa,ila pombe unaweza kuapa kila mara sinywi tena halafu next day unakunywa tena...niliwahi kuapa ikifika tar moja mwaka mpya nianze mpya bila pombe wapi,,niliwahi kuapa pia nkifikisha umri wa miaka fulani niache pombe lakini wapi...Mno bwashee 😁 juzi nilidai sinywi tena ila now nimekaa mahali nakula bia kama mwehu😅
Mimi ili kuacha inabidi nikose pesa tu bwashee 😁😁😁Hahaa,ila pombe unaweza kuapa kila mara sinywi tena halafu next day unakunywa tena...niliwahi kuapa ikifika tar moja mwaka mpya nianze mpya bila pombe wapi,,niliwahi kuapa pia nkifikisha umri wa miaka fulani niache pombe lakini wapi...
Kiranga atupe uzoefu aliachaje,