BEZO JR
Platinum Member
- Jul 15, 2023
- 3,278
- 8,521
Uzuri wa pombe hata ukikosa hela, wadau wanakuita na wanakupangia mezani hata bia 10...ni wewe tu.Mimi ili kuacha inabidi nikose pesa tu bwashee 😁😁😁
Uzuri wa pombe hata ukikosa hela, wadau wanakuita na wanakupangia mezani hata bia 10...ni wewe tu.Mimi ili kuacha inabidi nikose pesa tu bwashee 😁😁😁
Hahahahaha pombe ni starehe na starehe ni gharama, bila pesa sigusi pombe😁Uzuri wa pombe hata ukikosa hela, wadau wanakuita na wanakupangia mezani hata bia 10...ni wewe tu.
Uwe na kampani uliyoitengeneza na hayo ni mambo ya mjini Dasalam huku mikoani watu wachoyo sana .Uzuri wa pombe hata ukikosa hela, wadau wanakuita na wanakupangia mezani hata bia 10...ni wewe tu.
Nilipo kuna kimvua sana na baridi na ulimi kila neno ninalotamka nasikia ubongo unauliza what's up my nigga muda ni sasa .
Daktari tia vitu mbavuni bwasheeNilipo kuna kimvua sana na baridi na ulimi kila neno ninalotamka nasikia ubongo unauliza what's up my nigga muda ni sasa .
Wacha nikaifungue siku tu
Haaahaa 😊 😊 ☺️ hapa naelekea maeneo nikapige mamboo
Yaani ni kama umepiga Kaunda attackNilipo kuna kimvua sana na baridi na ulimi kila neno ninalotamka nasikia ubongo unauliza what's up my nigga muda ni sasa .
Wacha nikaifungue siku tu
UmenenaUwe na kampani uliyoitengeneza na hayo ni mambo ya mjini Dasalam huku mikoani watu wachoyo sana .
Usione ajabu mtu anakuja bar na kaunta buku anaandika vifaa hitajika vya ujenzi site kwake ,sasa huyo anaweza kukunulia hata bia moja kaka ?
Picha SIKUIZI umepunguza kuweka 😆Dah.. Siku hiyo location ilikuwa inasoma Msata😂
Ila Mshana kati ya wanaokula life Tanzania la maji upo miongoniDah.. Siku hiyo location ilikuwa inasoma Msata😂
🤣😁Uwe na kampani uliyoitengeneza na hayo ni mambo ya mjini Dasalam huku mikoani watu wachoyo sana .
Usione ajabu mtu anakuja bar na kaunta buku anaandika vifaa hitajika vya ujenzi site kwake ,sasa huyo anaweza kukunulia hata bia moja kaka ?
🙌 Hadi picha mkuu basi tutakimbia TANGANYIKA😀😀😀 zinatozwa kodi thats why!
Alfu tatu nayo ni hela bwashee
Bwashee tunza pesa yako kesho tusisahau supu na chapati😁😁Nina usd 156 hapa haina kazi hebu tupeane location fasta tukajadili mfumuko wa bei ya wese
Safi sana bwashee kula pombeHaaahaa 😊 😊 ☺️ hapa naelekea maeneo nikapige mamboo