Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hii convoy ilikuwa na
Mwenyekiti mrangi
Katibu. Simkumbuki.
Mweka hazina binti kiziwi nadhani
Ilifika mahali tukawa tunapanga kuonana live kabisa
Hebu tulianzisheni upyq kwa kupata viongozi wasaidizi
1. Kaimu mwenyekiti
2. Kaimu katibu
3. Kaimu mweka hazina
Mweka hazina labda Binti wa zamani

Mi mjumbe tu, karibuni nimejiunga kifurushi cha wiki na hivi kuna mvua 😅

IMG_7633.jpeg
 
Hapana, hayo majukumu mazito, mimi ule ulevi wangu wa utamu, nikikunjwa vizuri nikapewa raha :uwotWater: :uwotWater: naweza kupotea hata mwezi mzima wajumbe mkapata taharuki 😂.

Nampendekeza mzee mwenzangu ERoni , hii sekta ya pesa itamfaa!
Ila kweli we huaminiki likija suala la mikunjo!

Alipo ERoni na babu GRAHAM asikosekane.
 
To be fair, Binti wa zamani alikuwa amekutag mimi nikaona nimtag babu.

Acha wivu kabla sijakuitia kiboko yako.
Ulifanya vyema kuni-tag Mjukuu, vinginevyo ningepitwa na mengi humu 🤗

Hujambo lakini? Nipo naisubiria Kiko uliyonihaidi kuniletea mwezi ujao 🤭
 
Asante kwa Kuja Babu, kiko inanoga wakati wa baridi? maana kwasasa walau kila sehemu ya nchi kuna mvua.
Swadakta kabisa, Kiko na hizi mvua mvua inafaa sana

Fanya kuniletea Mjukuu maana arosto niliyonayo Babu yako sio ya Nchi hii 🤗
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom