Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

🍻
IMG_3215.jpeg
 
😀😀 Northzone is beautful..
ilaa kwanini kinywaji ya Watakatifu?!!
Nimekufuatilia kipindi kirefu juzi ukanifurahisha ulivyokuwa unataja maeneo yangu pendant hapo arusha na kilimanjaro ,haukuishia hapo leo unatupia kinywaji cha watakatifu wote nchini ,itoshe kusema wewe umeingia kwenye list ya marafiki zangu kuanzia sasa .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom