Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nalipa kodi
IMG_20231117_171908.jpg
 
Sirudi tena pombe baada ya leo kuona jamaa kazima kuanzia juzi kaangukia porini baada ya kuzidiwa na mvua, kafa na kaliwa na fisi miguuni na mgongoni.

Jamani pombe iwe kistaarabu
Kila kitu ukizidisha ni mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom