monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,251
- 11,444
Acha kutufananisha na bodaboda mkuuKitu nimegundua ni kuwa walevi mnapendana sana na mna umoja kama bodaboda
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Acha kutufananisha na bodaboda mkuuKitu nimegundua ni kuwa walevi mnapendana sana na mna umoja kama bodaboda
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
[emoji23] toka waweke Hilo neno sijazinywaWaondoe na neno maokoto kwenye hii bia!! Ndio maana hatulewi haraka.
J5 nitakuwa hukooo.. NipokeeeHuu uzi nilipotea kitambo lakini naona wazee wa meza ndefu hamjaniangusha mnaupeleka tuu
Nipo pande za iringa vi club vyao vimepoa mnoooooView attachment 2816840
Mkuuu karibu sana
Hapafai hapo basiMkuuu karibu sana
Mimi nipo
Mpaka weekend ijayo
Kwahyo utanikuta
Ila viwanja vingi nilivopita bado sana
Kuna kiwanja kinaitwa "LA PALACE PUB"
yaani kila ukiuliza kinywaji wanakwambia
Kimeisha,
ila kuna viwanja angalau vina vibe
Mkuu usinielewe vibaya ni ule umoja tuAcha kutufananisha na bodaboda mkuu
Depal eeehTs friyah [emoji3060]View attachment 2816884
Hapoo sawaMkuu usinielewe vibaya ni ule umoja tu
Grass za hivyo nazikubali kichizi yan hapo shetani angeshafanya yake ile "waiter nipe k-vant na 7-up..."
Kitu nimegundua ni kuwa walevi mnapendana sana na mna umoja kama bodaboda
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mtafute Demiss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]hayukoMtafute Demiss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kiwango kivipi kiongozi???Ivi hii kitu ina kiwango kwel?
Ina ubora wa kutosha au ni kama zile pombe za kwenye vichupa vya plasticKiwango kivipi kiongozi???
Iko vizuri kabisa sio kama vimaster bei yake ina range kwenye ValuerIna ubora wa kutosha au ni kama zile pombe za kwenye vichupa vya plastic