kitororondo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 597
- 717
Hakuna na mna tutafanyaje sasa
[emoji23]View attachment 2817584
Weekend hii…..usisahau charger na ATM card haujui utalala wapii
Dah.. Huu mziki huuu....!!!!Hakuna na mna tutafanyaje sasaView attachment 2817645
Hatare na nusu mkuu sema bajeti ndio imeturuhusu hapa
Mnatafta mbinu za kimasikhara au sioSiku moja Jf itabidi tukutane wanywaji tupige story tuchinje mnyana mmmoja.
Ni sahihi kabisaHatare na nusu mkuu sema bajeti ndio imeturuhusu hapa
Itakua poa sana,vibaka walipita na yng cmu ila nimerejesha maisha yanaendelea...Siku moja Jf itabidi tukutane wanywaji tupige story tuchinje mnyana mmmoja.
Hakuna na mna tutafanyaje sasaView attachment 2817645
Hahaa
😂😂😊
Utaniua na presha chali angu mambo gani hadi nahisi kama vile umetekwa.Hahaa
Abee