Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Weekend murua
IMG_20231110_230954_547.jpg
 
Oy wadau nipo mbeya,ipi club kali kati ya mwailubi,mbeya pazuri na new city pub,jumamosi hii nikale bata ..club yenye magoma makali na msosi mzuri yan mdudu roast,ugali mkubwa n.k
Anyway hapa jana ilitengenezwa cocktail moja matata sana mualiko wa jamaa yetu mmoja wa huku mbeya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2808803

Mbeya pazuri bro, ngoja nikutumie na namba ya maliwazo hapo.
 
Pombe nuksi ,jana nimetoka kitambaa cheupe asubuhi hii ya leo ,ndungi refu

Kitambaa cheupe wanamambo ya kiboya sana. Hivi wanaweka kiingilia ili iwe nini?

Watuwekee hata bia 5,000 lakin sio kutoza kiingilio kama tunaenda disco vumbi.

Site za namna hii ya viingilio kwenda kunywa huwa sipendi kabisa. Naona kama zina uswahili sana.

Pale malaya wakutosha, ingawa naona maagizo ya Chalamila yanawafanya wafukuzwe ukanda wa gaza [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom